Matches in SemOpenAlex for { <https://semopenalex.org/work/W3020579495> ?p ?o ?g. }
Showing items 1 to 29 of
29
with 100 items per page.
- W3020579495 abstract "Hiponimia ni mojawapo ya mahusiano ya kifahiwa inayoashiria uhusiano ambapo leksimu ya jumla inajumuisha kimaana leksimu mahususi. Uhusiano wa leksimu kihiponimia ulidhukuriwa kuwa unafanana katika lugha anuwai ulimwenguni na aghalabu unahusisha leksimu nomino pekee. Hata hivyo, tafiti za hivi punde zinadhihirisha kuwa hiponimia huonekana pia miongoni mwa vivumishi, vielezi na vitenzi na huweza kutofautiana kimuundo na kimtindo kutoka lugha moja hadi nyingine kwa sababu ya tofauti za kitamaduni. Wataalamu anuwai wamekuwa na mapendekezo kadha kuhusu nadharia ifaayo ya kuainisha leksimu za lugha kihiponimia. Wengine wanaelekea kupendelea matumizi ya nadharia ya Kiini Maana (Core Meanings Theory) na Nadharia ya Sampuli Kifani (Prototype Theory). Hata hivyo inadhihirika kuwa nadharia ya Uchanganuzi Vijenzi (Componential Analysis) inafaa zaidi katika uchanganuzi wa hiponimia ya leksimu nomino, vitenzi, vivumishi na vielezi. Makala haya yanaangazia kufaa kwa nadharia hii katika uhakiki wa hiponimia ikilinganishwa na nadharia Kiini Maana na Sampuli Kifani ." @default.
- W3020579495 created "2020-05-01" @default.
- W3020579495 creator A5024134456 @default.
- W3020579495 creator A5032349994 @default.
- W3020579495 creator A5068463664 @default.
- W3020579495 date "2017-10-03" @default.
- W3020579495 modified "2023-09-26" @default.
- W3020579495 title "KUFAA KWA NADHARIA YA UCHANGANUZI VIJENZI KATIKA UCHAMBUZI WA HIPONIMIA" @default.
- W3020579495 hasPublicationYear "2017" @default.
- W3020579495 type Work @default.
- W3020579495 sameAs 3020579495 @default.
- W3020579495 citedByCount "0" @default.
- W3020579495 crossrefType "journal-article" @default.
- W3020579495 hasAuthorship W3020579495A5024134456 @default.
- W3020579495 hasAuthorship W3020579495A5032349994 @default.
- W3020579495 hasAuthorship W3020579495A5068463664 @default.
- W3020579495 hasConcept C138885662 @default.
- W3020579495 hasConcept C27206212 @default.
- W3020579495 hasConceptScore W3020579495C138885662 @default.
- W3020579495 hasConceptScore W3020579495C27206212 @default.
- W3020579495 hasIssue "1" @default.
- W3020579495 hasLocation W30205794951 @default.
- W3020579495 hasOpenAccess W3020579495 @default.
- W3020579495 hasPrimaryLocation W30205794951 @default.
- W3020579495 hasVolume "77" @default.
- W3020579495 isParatext "false" @default.
- W3020579495 isRetracted "false" @default.
- W3020579495 magId "3020579495" @default.
- W3020579495 workType "article" @default.