Matches in SemOpenAlex for { <https://semopenalex.org/work/W4386223670> ?p ?o ?g. }
Showing items 1 to 39 of
39
with 100 items per page.
- W4386223670 endingPage "302" @default.
- W4386223670 startingPage "289" @default.
- W4386223670 abstract "Nyimbo za muziki wa dansi wa Tanzania zilianza nchini Tanzania kipindi cha ukoloni. Nyimbo hizi zinasawiri ujumi mweusi kwa kiasi kikubwa, na zina unusura. Ujumi wa kijamii huwa na dhima muhimu katika kazi za kifasihi za jamii husika. Kila jamii ina ujumi wake. Ujumi wa Waafrika huitwa ujumi mweusi. Huu ni ujumi utokanao na utamaduni wa jamii ya Kiafrika pamoja na mazingira yake. Ujumi huu huweza kutumika kuhakikia kazi za kifasihi za Kiafrika. Makala hii imetumia data za maktabani. Jumla ya nyimbo 8 za kuanzia mwaka 1970-2000 zimetumika. Nyimbo hizo zimeteuliwa kimakusudi, kwa kutumia usampulishaji usonasibu. Uteuzi huo umefanywa kwa zingatia dhima kuu, na ya kipekee, inayojitokeza zaidi kwenye wimbo husika. Mbinu zilizotumika kukusanyia data ni; utazamaji makini, udurusu wa matini na mbinu ya kutalii na kukusanya. Data zimechambuliwa kwa kutumia mkabala wa kitaamuli, na nadharia ya Uhalisia imetumika katika uchambuzi wa data ya utafiti huu. Matokeo ya utafiti wa makala hii yanabainisha kwamba ujumi mweusi una mchango mkubwa katika unusura wa nyimbo teule. Unusura huo umebainika kusababishwa na usawiri, kwa mawanda mapana vipengele mbalimbali vya ujumi mweusi kwenye nyimbo teule. Vipengele hivyo ni; umoja na ushirika, adabu na utii, utu, na matumizi bora ya lugha ya Kiswahili. Hivyo, walengwa wake huvutika kuzisikiliza kwani hugusa mambo yanayojenga ustawi wa jamii yao, hivyo kuwa na unusura. Hivyo, wasanii wanashauriwa kuendelea kutunga nyimbo za muziki wa dansi wa Tanzania zenye usawiri wa ujumi mweusi kwa mawanda mapana. Hali hii itasaidia kuendeleza unusura wa nyimbo hizi, kwa ajii ya usatawi wa jamii ya Watanzania na jamii nyinginezo" @default.
- W4386223670 created "2023-08-29" @default.
- W4386223670 creator A5092188593 @default.
- W4386223670 date "2023-08-28" @default.
- W4386223670 modified "2023-09-30" @default.
- W4386223670 title "Mchango wa Ujumi Mweusi katika Unusura wa Nyimbo za Muziki wa Dansi wa Tanzania: 1970- 2000" @default.
- W4386223670 doi "https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1395" @default.
- W4386223670 hasPublicationYear "2023" @default.
- W4386223670 type Work @default.
- W4386223670 citedByCount "0" @default.
- W4386223670 crossrefType "journal-article" @default.
- W4386223670 hasAuthorship W4386223670A5092188593 @default.
- W4386223670 hasBestOaLocation W43862236701 @default.
- W4386223670 hasConcept C2549261 @default.
- W4386223670 hasConcept C2779357621 @default.
- W4386223670 hasConcept C95457728 @default.
- W4386223670 hasConceptScore W4386223670C2549261 @default.
- W4386223670 hasConceptScore W4386223670C2779357621 @default.
- W4386223670 hasConceptScore W4386223670C95457728 @default.
- W4386223670 hasIssue "1" @default.
- W4386223670 hasLocation W43862236701 @default.
- W4386223670 hasOpenAccess W4386223670 @default.
- W4386223670 hasPrimaryLocation W43862236701 @default.
- W4386223670 hasRelatedWork W1499091086 @default.
- W4386223670 hasRelatedWork W2065780911 @default.
- W4386223670 hasRelatedWork W2481494875 @default.
- W4386223670 hasRelatedWork W2754697109 @default.
- W4386223670 hasRelatedWork W3150127134 @default.
- W4386223670 hasRelatedWork W3160197299 @default.
- W4386223670 hasRelatedWork W3180336185 @default.
- W4386223670 hasRelatedWork W4238742044 @default.
- W4386223670 hasRelatedWork W4250334497 @default.
- W4386223670 hasRelatedWork W610123486 @default.
- W4386223670 hasVolume "6" @default.
- W4386223670 isParatext "false" @default.
- W4386223670 isRetracted "false" @default.
- W4386223670 workType "article" @default.